1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukuaji wa uchumi wa Tanzania

Grace Kabogo
17 Januari 2022

Tanzania imefanikiwa kukuza sekta yake ya uchumi kutoka dola milioni 64 hadi dola milioni 779, huku wastani wa dola bilioni tatu zikitarajiwa ifikapo mwaka 2025. Pamoja na hayo, Tanzania bado ina wasiwasi kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa ambayo yanavuruga azma yake kubwa katika kilimo.

https://p.dw.com/p/45euV