1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukame wasababisha vifo vya mamia ya tembo nchini Kenya

Tatu Karema
16 Novemba 2022

Mamia ya tembo wamekufa kutokana na ukame nchini Kenya, hali inayoiweka matatani sekta ya utalii nchini humo. Kwa maoni yako, wanyama hawa wanaweza kuokolewa kwa njia gani? #Kurunzi 16.11.2022

https://p.dw.com/p/4Jbfi