Ukame, mafuriko, njaa: El Nino yaivamia Afrika | Mada zote | DW | 20.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Ukame, mafuriko, njaa: El Nino yaivamia Afrika

El Nino ina matokeo mabaya kwa Afrika: Huku mataifa mengine yakipambana na ukame mkali, mvua kubwa kabisa zinayagharikisha maeneo mengine ya bara hilo.