1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujumbe wa Chama cha SPD cha Ujerumani ziarani Tanzania

14 Februari 2007

Ujumbe maalum kutoka chama cha Social Democrat,SPD, nchini Ujerumani upo ziarani nchini Tanzania. Ziara hiyo pamoja na mambo mengine inalenga kudumisha ushirikiano baina ya Ujerumani na Tanzania.

https://p.dw.com/p/CHKD
Makao Makuu ya Chama cha SPD mjini Berlin
Makao Makuu ya Chama cha SPD mjini BerlinPicha: dpa

Jana ujumbe huo ulitembelea wizara ya usalama wa raia na kuzungumza na waziri husika. Mwandishi wetu Christopher Bhuke amehudhuria mkutano na ametutumia ripoti hiyo.