Ujerumani yawapa heshima wanajeshi waliohudumu Afghanistan | Media Center | DW | 14.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ujerumani yawapa heshima wanajeshi waliohudumu Afghanistan

Ujerumani imetoa heshima kwa wanajeshi wake waliohudumu katika ujumbe wa miaka karibu 20 nchini Afghanistan. Kansela Angela Merkel, Rais Frank-Walter Steinmeier ni miongoni mwa wanasiasa wa ngazi za juu waliohudhuria sherehe za kutoa heshima hiyo mjini Berlin Jumatano jioni.

Tazama vidio 02:26