1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa kifedha

Josephat Nyiro Charo8 Aprili 2010

Serikali ya Ujerumani leo imeipatia msaada wa kiasi cha Euro milioni nane na laki tano serikali ya Tanzania katika kusaidia taasisi zisizo za kiserikali, sekta nyingine za afya na huduma ya maji.

https://p.dw.com/p/MqbJ
Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) waziri wa misaada ya maendeleo wa Ujerumani Dirk Niebel na waziri wa kigeni Guido WesterwellePicha: picture-alliance/ dpa

Msaada huo umetangazwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ujerumani Guido Westerwelle pamoja na Waziri wa Maendeleo Dirk Niebel ambao wako katika ziara ya siku tano katika bara la Afrika.

Kutoka Dar es Salaam mwandishi wetu, George Njogopa, ametutumia taarifa zaidi.