Ujerumani na Urusi zaijadili Syria | Media Center | DW | 08.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ujerumani na Urusi zaijadili Syria

Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani na Urusi wajadili hali ya Syria, Zoezi la kuhesabu kura laendelea nchi Ghana, huku upinzani ukidai kuongoza kwa kura nyingi na Idadi ya mnyama aina ya Twiga yapungua duniani.

Tazama vidio 01:57
Sasa moja kwa moja
dakika (0)