Ujerumani kutoa msaada kwa sekta ya afya Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 31.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Ujerumani kutoa msaada kwa sekta ya afya Tanzania

Waziri wa ushirikiano kimaendeleo Ujerumani ameahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuzalisha wataalamu wa afya hasa katika kitengo cha ukunga na uuguzi ili kukabiliana na upungufu wa wataalamu hao.

Sikiliza sauti 02:43

Ripoti ya George Njogopa kutoka Dar es Salaam

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com