1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani kurejesha vitu vya kale vilivyochukuliwa Tanzania

Daniel Gakuba21 Machi 2023

Ujerumani inaazimia kuikabili uso kwa uso historia yake ya ukoloni na mchakato unaendelea hivi sasa kati yake na Tanzania katika juhudi za kuweka mambo sawa ili kurejeshwa mabaki ya vitu vilivyochukuliwa kutoka Tanzania wakati wa ukoloni. Sikiliza mahojiano kati ya Daniel Gakuba na Dkt. Emmanuel Temu, mkurugenzi wa maendeleo ya utamaduni katika wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Tanzania.

https://p.dw.com/p/4Oz5t