Ujerumani baada ya Uchaguzi
28 Septemba 2009Matangazo
Chama cha CDU kimeibuka washindi na kiko katika maandalizi ya
kuunda serikali ya pamoja na chama cha Kiliberali cha FDP
kinachoongozwa na Guido Westerwelle. Hii ni mara ya kwanza kwa
kipindi cha zaidi ya miaka 15 tangu serikali kuundwa kati ya vyama
vya mrengo wa kati na kulia wakati wa utawala wa Kansela Helmut
Kohl. Jee matokeo haya yana maana gani? Hilo ndilo suali Othman Miraji alimuuliza Hannelore Steer, mchambuzi wa
masuala ya kisiasa wa hapa Ujerumani.
Mtayarishi: Othman Miraji
Mhariri: Thelma Mwadzaya