Uhuru juu ya vyombo vya habari Angola | Media Center | DW | 20.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Uhuru juu ya vyombo vya habari Angola

Polisi nchini Angola walivamia na kutoa vitisho dhidi ya mwandishi wa gazeti moja nchini humo la Folha 8 aitwaye Calvalho ambaye amekuwa msitari wa mbele katika kuripoti kashifa kadhaa za rushwa nchini humo. Mwandishi huyo anaelezea katika vidio hii juu ya hali halisi kuhusiana na uhuru wa vyombo vya habari nchini humo. Tazama Video ya Afrika yasonga mbele.

Tazama vidio 03:40
Sasa moja kwa moja
dakika (0)