1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba wa mafuta ya kupikia Tanzania unatatiza maisha

Hawa Bihoga28 Januari 2021

Tanzania imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya uhaba wa mafuta ya kupikia tangu mwishoni mwa mwaka jana. Viwanda vingi vya ndani ya nchi vimesitisha uzalishaji wa mafuta hayo kutokana na ukosefu wa mali ghafi. Tatizo liko wapi?

https://p.dw.com/p/3oWZb