1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda yaomboleza kifo cha sokwe Zakayo

Iddi Ssessanga
27 Aprili 2018

Sokwe Zakayo, ambaye ndiye alikuwa mkongwe zaidi nchini Uganda, amefariki akiwa na umri wa miaka 54. Alikuwa maarufu sana na kipenzi cha wageni wengi wanaozuru mbuga ya wanyama ya Entebbe.

https://p.dw.com/p/2wowW