Uganda na Kenya zazindua kituo cha pamoja cha huduma za mipakani | Media Center | DW | 26.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Uganda na Kenya zazindua kituo cha pamoja cha huduma za mipakani

Uganda na Kenya kwa pamoja wamefungua kituo rasmi cha huduma ya pamoja mipakani cha Busia. Kituo hicho kilichogharimu dola milioni 13, kinalenga kuimarisha miongoni mwa mambo mengine mahusiano baina ya mataifa hayo.

Tazama vidio 03:17
Sasa moja kwa moja
dakika (0)