1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Kongamano la Amani na Usalama

Samia Othman6 Oktoba 2009

<p>Shirika la umoja wa mataifa linalowashughulikia wakimbizi UNHCR, limetoa mwito kwa nchi za Afrika mashariki kutilia maanani swala la muungano kama njia moja ya kukabiliana na changamoto ya wakimbizi.

https://p.dw.com/p/K0GF
Kambi mojawapo ya wakimbizi nchini UgandaPicha: AP
Haya yasemwa leo na afisa mkuu wa ulinzi wa wakimbizi wa shirika hilo la UNHCR George Kuchio akizungumza katika kongamano la amani na usalama linaloendelea mjini Kampala nchini Uganda. Mwandishi wetu wa Kampala Leyla Ndinda  amehudhuria kongamano hilo lililoanza jana na hii hapa ripoti yake kuhusu kilichojiri leo.

Mwandishi:Leyla Ndinda

Mpitiaji:Jane Nyingi