Uganda: Jenerali Sejusa kubaki rumande | Matukio ya Afrika | DW | 09.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Uganda: Jenerali Sejusa kubaki rumande

Mahakama kuu ya kijeshi Uganda imemnyima dhamana mpinzani huyo wa Rais Yoweri Museveni na ataendelea kubaki gerezani hadi tarehe 23 Februari wakati ambapo mashtaka dhidi yake yatakaposikilizwa tena.

Sikiliza sauti 02:46

Ripoti ya Emmanuel Lubega kutoka Kampala

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com