Ufaransa yalaumiwa kwa kurefusha muda wa hali ya hatari | Matukio ya Kisiasa | DW | 27.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Ufaransa yalaumiwa kwa kurefusha muda wa hali ya hatari

Ufaransa ambayo imekuwa katika hali ya hatari tokea mwezi wa Novemba kufuatia mashambulizi ya kigaidi Paris inalaumiwa kwa kushindwa kutowa ushahidi wa kutosha juu ya haja ya kurefusha muda wa hali ya hatari hadi Mei

Sikiliza sauti 09:44

Kurefushwa hali ya hatari Ufaransa kwakosolewa - MP3-Stereo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com