1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufahamu ugonjwa wa Dyslexia

Sylvia Mwehozi3 Julai 2018

Kuna baadhi ya watoto tangu wamezaliwa wanakuwa na uwezo duni wa kusoma na kuandika. Mara nyingi watoto hawa hutafsiriwa kama walio na matatizo ya akili au wasio na kumbukumbu nzuri kwa maana ya kushindwa kusoma na kuandika. Wazazi hujikuta katika wakati mgumu pasipo kufahamu nini cha kufanya. Hata walimu wengi hawana uwezo wa kutambua tatizo hili. Hili ni tatizo kitaalamu linaloitwa Dyslexia.

https://p.dw.com/p/30kEM