Udanganyifu katika uandikishaji wa wapiga kura nchini Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 16.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Udanganyifu katika uandikishaji wa wapiga kura nchini Kenya

Wakati uchaguzi wa Kenya ukisubiriwa kabla ya mwisho wa mwaka huu, chama cha ODM kinachoongozwa na Raila Odinga ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho, kimesema kimegundua kadi kiasi ya 500 za uandikishwaji wapiga kura ambao si wakaazi wa eneo husika katika mkoa wa Pwani.

Mohamed Abdulrahman amezungumza na kiongozi wa ODM mbunge Najib Balala na kwanza alimuuliza ilikuaje hadi wakazigundua kadi hizo za kitambulisho cha kupiga kura.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com