1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchoraji wa hina kwenye vitu vya mabambo

16 Oktoba 2019

Hina imezoeleka kuchorwa kwenye ngozi, kama mapambo hususan kwa wanawake wa pwani. Lakini mchoraji kutoka Zanzibar, Jasmine Bakari, amekuja na wazo la kuchora nakshi za hina kwenye vitu vya matumizi kama vile mashanuo, vikapu, pawa na vengine vingi. Watalii ndiyo wateja wake wakuu.

https://p.dw.com/p/3ROsZ