1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

....................

Elizabeth Fredrick Shoo30 Juni 2016

Elizabeth Shoo akiwa anaaongoza kipindi cha Sema Uvume ataangazia uchapishaji na uuzaji wa vitabu kupitia inaneti, namna uamuzi wa Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya unavyojadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na wapenzi wa soka wavamia Twitter kuelezea kushtushwa na Messi kutangaza kujiondoa kwenye soka la kimataifa.

https://p.dw.com/p/1JGZC