Je wachambuzi wa siasa visiwani Zanzibar wanazungumziaje hatua ya chama cha upinzani ACT Wazalendo kushirikiriana na chama tawala visiwani Zanzibar kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa pamoja na kiongozi wa ACT Wazalendo visiwani humo Maalim Seif kuteuliwa kuwa makamu wa kwanzya wa rais?
Sudi Mnette amezungumza na Said Miraji ambaye ni mchambuzi wa siasa na ambaye amekuwa akifuatilia siasa za Zanzibar. Je anazungumziaje matukio ya hivi karibuni ambayo wengine wanasema yamesababisha utata?