1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa mbunge wasitishwa Zanzibar

Sudi Mnette25 Oktoba 2015

Uchaguzi wa ubunge katika moja ya vituo visiwani Zanzibar umesimamishwa kutokana na kukosekana na karatasi za kupigia kura. Salma Saidi kutoka visiwani humo amezungumza na wadau mbalimbali kufuatia tatizo hilo.

https://p.dw.com/p/1Gtxk
Bendera ya taifa visiwani Zanzibar
Picha: DW/M. Khelef

[No title]