Uchaguzi wa Bunge la Umoja wa Ulaya | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 08.06.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Uchaguzi wa Bunge la Umoja wa Ulaya

Vyama vikuu vimethibiti kuwa imara katika bunge laUmoja wa Ulaya.

default

Wananchi wakivinjari kwenye njia ya kuelekea kwenye bunge la Umoja wa Ulaya mjini Brussels

BERLIN:
Vyama vinavyotawala katika  serikali  ya mseto  nchini Ujerumani  vya CDU na CSU vimeongoza katika uchaguzi  wa bunge  la Umoja  wa Ulaya kwa kupata asilimia 37. 9 ya kura.

Chama kingine kilichomo katika serikali ya hiyo  cha SPD  hakikufanya vizuri katika  uchaguzi  huo na kimepata asilimia 20. 8 ya kura.

Vyama  vya  upinzani  vya  FDP,Kijani na cha  mrengo wa shoto vimefanikiwa kuongeza  idadi ya  viti .

Katika mandhari ya Ulaya  kwa jumla vyama  vya  mrengo mkali wa kulia vimepata  mafanikio  makubwa  katika uchaguzi  wa  bunge  la  Umoja wa Ulaya.


Nchini Uingereza chama  cha kibaguzi BNP kimefanikiwa  kupata  kiti  katika bunge hilo kwa  mara ya kwanza.


 • Tarehe 08.06.2009
 • Mwandishi Abdu Said Mtullya
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/I5IH
 • Tarehe 08.06.2009
 • Mwandishi Abdu Said Mtullya
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/I5IH
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com