1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi Tanzania: Mahojiano na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama cha NCCR-Mageuzi

25 Agosti 2010

Wakati joto la uchaguzi likizidi kupamba moto huko nchini Tanzania, vyama mbalimbali vinaendelea na kampeni zao kwa lengo la kujinadi kwa wananchi ili vifanikiwe kujinyakulia ushindi.

https://p.dw.com/p/Ovvv

Katika kutaka kufahamu jinsi vyama vya kisiasa vinavyoendelea na harakati hizo za kampeni nimezungumza na Dr. Edmund Sengondo Mvungi, mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ambaye alianza kuelezea mchakato mzima wa kampeni za chama hicho.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Dr.Mvungi

Mhariri:Abdul-Rahman