1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi nchini Rwanda

9 Agosti 2010

Leo hii wananchi wa Rwanda wapiga kura kumchagua Rais

https://p.dw.com/p/OfS5
Rais Paul Kagame wa RwandaPicha: picture-alliance/dpa

Mohamed Abdul-Rahman alizungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Tanzania, Profesa Mwesiga Baregu, na alimuuliza juu ya umuhimu wa uchaguzi huo kwa Rwanda na kanda hiyo kwa jumla, Profesa Baregu alikuwa na haya ya kueleza.