1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ubunifu wa kiusalama Kenya

20 Januari 2022

Kujihisi kuwa salama hufanya biashara na hata afya yako kunawiri. Brian Kimani anaamini hivyo. Kijana huyu kutoka Kenya amevumbua kifaa cha usalama kufanya ujihisi salama ukiwa kazini na nyumbani wakati wowote.

https://p.dw.com/p/45q40