Ubakaji wa watoto waongezeka Dodoma | Masuala ya Jamii | DW | 21.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Ubakaji wa watoto waongezeka Dodoma

Licha ya juhudi za serikali ya Tanzania na wadau mbalimbali kutetea haki za wanawake na watoto ikiwa ni pamoja na kupinga vikali ukatili na dhuluma ya kingono kwa watoto wadogo yaelezwa kuwa baadhi ya watu wazima mkoani Dodoma wamekuwa wakiendelea kufanya vitendo vya dhuluma ya kingono kwa watoto wadogo kwa kuwashawishi kwa pesa na chakula mwandishi Deo Kaji Makomba anasimulia zaidi.

Sikiliza sauti 03:46