1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Twaweza yashukiwa kutokufuata taratibu za kitafiti

11 Julai 2018

Taasisi hiyo isiyo ya kiserikali nchini Tanzania, imekiri kupokea barua kutoka tume ya sayansi na teknolojia yenye kusimamia tafiti, kuwataka kutoa maelezo juu ya kutofuata taratibu za utafiti.

https://p.dw.com/p/31GLx
Aidan Eyakuze, mkurugenzi wa Twaweza
Picha: DW/S. Khamis

J2: 11.07.2018 Twaweza Letter - MP3-Stereo