1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tuzo ya uhuru wa habari DW

Amina Mjahid
4 Mei 2020

Tuzo ya mwaka huu ya waandishi wa shirika la habari la DW mwaka huu inawaendea waandishi walioripoti kuhusu ugonjwa wa COVID-19 licha ya kukabiliwa na ukandamizwaji. Hii hapa ni kauli ya Mkurugenzi Mkuu wa DW Peter Limbourg kuhusu tuzo hiyo. #kurunzi 04.05.2020

https://p.dw.com/p/3blGD