1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Turkana Kenya: Mradi wa maji kupunguza athari za ukame

Veronica Natalis
1 Desemba 2022

Baada ya miaka mingi ya ukame, hali katika maeneo ya kaskazini mwa Kenya ni mbaya. Wanyama wanakufa, mashamba yamekauka na watu hawana chakula cha kutosha. Hata hivyo mradi ambao umeanzishwa na kina mama hapa, unajaribu kutoa suluhisho kwa kuchimba visima vipya. Vijana Mubashara 77Asilimia

https://p.dw.com/p/4KLlr