Turathi zaharibiwa kwenye makumbusho mjini Berlin | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 22.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Turathi zaharibiwa kwenye makumbusho mjini Berlin

Polisi ya Ujerumani imesema watu wasiojulikana wameharibu kazi za sanaa na turathi nyingine katika jumba maarufu la makumbusho mjini Berlin. Inaarifiwa mamlaka ilisalia kimya kuhusu shambulio hilo la kushangaza kwa zaidi ya wiki mbili.

Tazama vidio 01:49