Tundu Lissu azungumzia maamuzi ya kuvuliwa ubunge | Media Center | DW | 02.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Tundu Lissu azungumzia maamuzi ya kuvuliwa ubunge

Spika wa bunge la Tanzania, hivi karibuni alitangaza kuwa jimbo la Singida Mashariki ambalo lilikuwa linashikiliwa na Tundu Lissu kwamba liko wazi na hivyo kumaanisha kuwa Lissu si mbunge tena wa jimbo hilo. Sikiliza mahojiano yake na Sudi Mnette katika makala ya Kinagaubaga.

Sikiliza sauti 09:40