1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tundu Lissu aruhusiwa kutoka hospitali Nairobi

Lilian Mtono
5 Januari 2018

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kulazwa kwa karibu miezi minne kufuatia kushambuliwa kwa risasi. Akizungumza na DW kwa njia ya simu, Lissu amelitaja shambulio hilo kuwa ni jaribio la mauaji ya kisiasa. Amesema ataendelea na matibabu barani Ulaya ingawa hakuweka wazi atakuwepo nchi gani. Sikiliza mahojiano hapa.

https://p.dw.com/p/2qPXm