1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tume ya uchaguzi Kenya yasogeza mbele uchaguzi kwenye Kaunti nne

Lilian Mtono
26 Oktoba 2017

Tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya, IEBC yasogeza mbele kwa siku nne uchaguzi kwenye Kaunti nne. Hali ya sintofahamu yazidi kujitokeza kwenye mchakato wa kujitenga kwenye jimbo la Catalonia na Rais wa Brazil, Michel Temer aepuka kushitakiwa kwa madai ya rushwa. Papo kwa Papo: 26.10.2017

https://p.dw.com/p/2mZSr