Tuma ujumbe wa SMS kwa DW | Redio | DW | 01.02.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Redio

Tuma ujumbe wa SMS kwa DW

Deutsche Welle sasa inajisogeza karibu nawe na ili uchangie maoni yako kwa kile unachokisikia kwenye matangazo yetu ya mchana na jioni kutoka Jumatatu hadi Ijumaa kwa kuwa maoni yako ni muhimu sana kwetu.

Tutumie ujumbe nasi tutausoma.

Tutumie ujumbe nasi tutausoma.

Kila siku tunawaletea uchambuzi wa ripoti za matukio ya kimataifa na yanayotokea Afrika kutoka kwa waandishi wetu pamoja na mahojiano na wanaohusika na matukio hayo. Hakika kutoka hapa Ujerumani, Deutsche Welle TUNAVUMA KWA KISHINDO.

Kwa hayo yote sasa tunakupa fursa ya kutuma maoni yako moja kwa moja wakati wa matangazo yetu kupitia ujumbe mfupi ama SMS. Kumbuka ujumbe uhusike na ripoti tutakayoitangaza wakati huo.

Tuma ujumbe wako kwa nambari: +49 17 32 91 17 90.