Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli | Radio D Teil 1 | DW | 25.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 1

Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli

Waandishi habari hao wanajitahidi kuelewa kauli "getürkt" na wanazuru bandari isiyo ya kawaida ambako kila meli hukaribishwa kwa namna ya kipekee.

Bandari ya Willkomm-Höft ina desturi ya kipekee.

Bandari ya Willkomm-Höft ina desturi ya kipekee.

Katika Bandari ya Willkomm-Höft kila meli hukaribishwa kwa wimbo wa taifa la nchi inakotoka. Kwenye mchezo wao wa redio, Paula na Philipp wanachunguza asili ya mila hii-ambayo yumkini inahusiana na maana ya neno "getürkt." Wakati huo huo, Ayhan anatumia muda wake afisini kusoma vitabu kuhusu bundi.

Kwa kuwa Eulalia hajui kusoma, Ayhan anamsomea. Tukio hili linashughulikia zaidi viambishi-awali vya vitenzi na jinsi ambavyo maana ya kitenzi hubadilika pale kiambishi-awali kinapobadilishwa.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa