Tukio 24 – Meza ya Mhariri | Radio D Teil 1 | DW | 25.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 1

Tukio 24 – Meza ya Mhariri

Bundi Eulalia anawasaidia Paula na Philipp kupata mwelekeo. Wanagundua kuwa wafanyikazi wenzao wa gazeti la Hamburg wanahusika kwenye ulaghai huo.

Paula na Philipp hawaelewani.

Paula na Philipp hawaelewani.

Paula, Philipp na Eulalia wanagundua kuwa wafanyikazi wa gazeti la Hamburg walitunga njama yote ya kuweko papa katika bandari ili wapate kuuza nakala zaidi za gazeti. Baadaye, Philipp na Paula wanazozana kuhusu matumizi ya neno fulani. Philipp anatumai kwamba Paula atatulia pindi akimwalika katika Bandari ya Willkomm-Höft.

Lau Philipp angezingatia zaidi maneno aliyotumia, Paula hangeudhika. Kiambishi-awali cha kitenzi kinaweza kuwa kifupi lakini kinaweza kubadilisha maana ya neno. Baadhi ya viambishi vya vitenzi hutenganishwa na kitenzi-jina.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa