Tukio 21 – Papa katika Hamburg | Radio D Teil 1 | DW | 25.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 1

Tukio 21 – Papa katika Hamburg

Katika afisi ya Radio D hali ya joto imezidi mno. Paula na Philipp wanafurahi pale wanapopewa kazi ya kwenda pwani ambako papa ameonekana bandarini.

Waandishi habari wapata kazi mpya.

Waandishi habari wapata kazi mpya.

Paula, Philipp na Ayhan wanatatizika kwa kiasi kikubwa. Joto limezidi afisini wala hawana kiyoyozi. Paula anatamani kwenda baharini, na Compu anamsaidia kufanya hivyo. Waandishi habari hao wanakwenda Hamburg kwasababu inasemekana papa ameonekana bandarini. Paula na Philipp wanashindwa kupita kutokana na umati wa watu ambao tayari wamefurika kwa nia ya kumwona samaki huyo mkubwa.

Mambo pia si rahisi kwa mwalimu ambaye anashughulikia viambishi mwisho vya uhusika wa moja kwa moja wa vidhihirisho vya jinsia ya kiume. Neno la kukanusha "kein" linafuata mtindo sawa wa viambishi vya mwisho.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa