Tukio 14 – Wachawi katika Schwarzwald | Radio D Teil 1 | DW | 25.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 1

Tukio 14 – Wachawi katika Schwarzwald

Hata baada ya kutatizika sana, hatimaye Philipp anafaulu kurudi salama kutoka Schwarzwald na anajitosa kwenye raha ya Karnivali. Paula wala havutiwi na mila hiyo ya Karnivali.

Paula hafurahii kumtafuta Philipp.

Paula hafurahii kumtafuta Philipp.

Philipp anafurahia sherehe za Karnivali. Paula anaziona sherehe hizo kuwa fujo tupu. Inambidi kumtafuta Philipp na gari lake lililoibwa. Anafanyiwa mizaha na hivyo kutatizika kutimiza lengo lake. Hata Ayhan anamchezea Paula.

Matumizi ya kitenzi "sein" (kuwa) ni tofauti kama yalivyo tofauti mavazi yatumiwayo kwenye Karnivali. Katika tukio hili utaangazia vijalizo vya vitenzi tofauti.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa