Tukio 11 – Bundi Anayeongea | Radio D Teil 1 | DW | 24.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 1

Tukio 11 – Bundi Anayeongea

Je jina Eulalia linatoka wapi? Compu, Ayhan na Josefine wanachunguza maana ya jina hilo na kupata maana tofauti. Mfanyi kazi mwenzao mhispania ndiye anayewasaidia.

Bundi anayeongea azua kizaazaa katika Radio D.

Bundi anayeongea azua kizaazaa katika Radio D.

Bundi Eulalia anataka kujua maana ya jina lake. Wahudumu wa afisi ya Radio D wanashughulika kuchunguza na wanagundua asili ya jina hilo ni Ugiriki. Carlos wa idara ya kihispania ana taarifa ya kuvutia kuhusu mada hiyo: Anajua mtakatifu aliye na jina kama hilo.

Hata hivyo kundi hilo lina maswali mengi ya kushughulikia. Katika tukio hili utasikia maswali yakiulizwa kwa au bila kutumia maneno ya kuulizia maswali. Kiimbo ni muhimu zaidi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa