Tukio 08 – Kumtambua Mgeni | Radio D Teil 1 | DW | 24.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 1

Tukio 08 – Kumtambua Mgeni

Kwenye Kasri la Neuschwanstein, Paula na Philipp wanamhoji mtu anayedai kuwa Mfalme Ludwig. Paula anagundua jambo linalompa fununu ya kumtambua mgeni huyo asiyeeleweka.

Paula apata kidokezo muhimu.

Paula apata kidokezo muhimu.

Waandishi habari hao wawili wanamrai mtu huyo anayedai kuwa Mfalme Ludwig kukubali mahojiano ya moja kwa moja redioni. Hata hivyo asili ya mtu huyo inabaki kuwa kitendawili. Paula anaporejea afisini, anaona tangazo la biashara la runinga linalompa fununu. Sauti ya tangazo hilo si ngeni kwake.

Huwezi kuzungumzia vitu unavyohiari bila kusema nini au nani unayempenda. Kitenzi “lieben” huandamana na shambirisho la uhusiano wa moja kwa moja. Katika tukio hili utaelezwa kuhusu uhusika wa moja kwa moja.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa