Tukio 07 – Ludwig, Mfalme wa ajabu | Radio D Teil 1 | DW | 24.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 1

Tukio 07 – Ludwig, Mfalme wa ajabu

Paula na Philipp wanamtambulisha Mfalme Ludwig kwa wasikilizaji kwenye mchezo wao wa redio. Kuteleza thelujini usiku, hafla kubwa na uvumbuzi wa ajabu ni mambo ya mwanzo Ludwig aliyoyafanya katika wakati wake.

Mfalme Ludwig acheza muziki pamoja na Sissi

Mfalme Ludwig acheza muziki pamoja na Sissi

Waandishi habari hao wawili wanawarejesha wasikilizaji hadi katika karne ya 19. Wanapata habari za Mfalme Ludwig, jinsi alivyokuwa akipenda mandhari asilia, muziki wa Richard Wagner na pia uhusiano wake na binamu yake, Malikia Sissi. Kila mtu anashangazwa na meza ambayo Ludwig aliiunda mwenyewe.

Tukio hili linahusu vitu ambavyo Mfalme Ludwig anavihiari, na hivyo inabidi kujifunza kitenzi "lieben" (kupenda). Viambishi-tamati hivyo vinatumika kwa kitenzi "kommen" (kuja), ambacho utakisikia baadaye.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa