Tukio 03 – Ziara ya Berlin | Radio D Teil 1 | DW | 24.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 1

Tukio 03 – Ziara ya Berlin

Philipp anaelekea Berlin. Hali ya hewa inamtatiza sana. Akiwa safarini, Philipp anajuana na watu kadhaa.

Hali mbaya ya hewa inamtatiza Philipp

Hali mbaya ya hewa inamtatiza Philipp

Philipp anasafiri kwa gari kwenda Munich anakotumai kupanda ndege ya kuelekea Berlin. Safari yake inachukua muda mrefu zaidi kutoka na mvua kubwa.

Katika tukio hili, wafanyi kazi wa Radio D, Philipp na mama yake wanajitambulisha kwa ufasaha zaidi. Utasikia wakijitambulisha kwa njia rasmi na njia isiyo rasmi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa