Trump kuapishwa kuwa rais wa Marekani | Media Center | DW | 20.01.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Trump kuapishwa kuwa rais wa Marekani

Donald Trump anaapishwa leo kuwa rais wa 45 wa Marekani. Yahya Jammeh ameiomba ECOWAS imuongezee muda wa kuondoka madarakani. Na Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Barack Obama, amempigia simu Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel kumshukuru kwa uongozi wake imara. Papo kwa Papo 20.01.2017

Tazama vidio 01:59
Sasa moja kwa moja
dakika (0)