Trump autia hofu mkutano wa G7 | Media Center | DW | 26.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Trump autia hofu mkutano wa G7

Viongozi wa nchi za G7 waanza mkutano nchini Italia wakitiwa hofu na sera za Rais Donald Trump wa Marekani, mtu mwingine amekamatwa nchini Uingereza kuhusiana na shambulizi la bomu lililouwa watu 22 mjini Manchester Jumatatu usiku, na Zambia yatafakari kuuhamisha mji wake mkuu kutoka Lusaka hadi katikati mwa nchi kusiko na msongamano mkubwa wa watu. Papo kwa Papo 26.05.2017

Tazama vidio 01:58
Sasa moja kwa moja
dakika (0)