Trump atangaza mkakati wa kijeshi Afghanistan | Anza | DW | 22.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Trump atangaza mkakati wa kijeshi Afghanistan

Marekani itawapeleka wanajeshi zaidi nchini Afghanistan, Washukiwa wanne wa mashambulizi ya Barcelona wafikishwa mahakamani na Mahakama ya Juu India yasema talaka za papo hapo zisizofuata utaratibu wa kiislamu zinakwenda kinyume na sheria: Papo Kwa Papo 22.08.2017

Tazama vidio 01:51