Trump Amtimua Kaimu Mwanasheria Mkuu | Media Center | DW | 31.01.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Trump Amtimua Kaimu Mwanasheria Mkuu

Trump amfungisha virago Kaimu Mwanasheria Mkuu wa Marekani, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani asema vita dhidi ya ugaidi havihalalishi ubaguzi wa watu kwa misingi ya asili yao, Canada yamfungulia mashitaka kijana aliyeuwa watu 6 katika msikiti jimboni Quebec, na Umoja wa Afrika wamchagua Moussa Faki Muhamat kuwa mwenyekiti mpya wa Kamisheni yake.

Tazama vidio 01:54
Sasa moja kwa moja
dakika (0)