1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump achochea uhasama kati ya Mexico na Marekani

8 Februari 2017

Wakati kukiongezeka kwa hali ya wasiwasi kati ya Marekani na Mexico, kiasi cha raia 135 wa Mexico wamefurushwa kutoka Marekani na kurejeshwa nchini mwao ambapo wamepokelewa na Rais wa nchi hiyo Enrique Pena Nieto. Sera za Donald Trump za kujenga ukuta na wahamiaji zimesababisha wasiwasi mkubwa kati ya nchi hizo.

https://p.dw.com/p/2XBil