1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

TotoHealth kuhakikisha afya ya mama na mtoto

Yusra Buwayhid20 Machi 2018

Ifahamu huduma ya simu ya mkononi inayoitwa TotoHealth inayotaka kuhakikisha hakuna mama anaepoteza maisha wakati wa kujifungua na kila mtoto anapata fursa sawa ya kuishi. Utasikia pia mzozo ulioukumba Facebook baada ya kuripotiwa kwamba kampuni nyingine ya utafiti wa data ilitumia data za watumiaji milioni 50 wa Facebook ili kuwalenga katika kampeni ya uchaguzi wa rais Donald Trump.

https://p.dw.com/p/2ucvb